Our latest impressions and news

MEDIA REPORT(Swahili): Naibu Waziri aagiza matokeo ya utafiti yaandikwe Kiswahili

NAIBU Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa, ameziagiza taasisi za utafiti wa kilimo nchini, kuandika matokeo yao ya utafiti kwa lugha ya kiswahili. Agizo hili litawezesha wakulima wengi wa vijijini, kuzielewa na kuzifanyia kazi. Soma zaidi

CASI, swahili, tanzania

social media