MEDIA REPORT(Swahili): Naibu Waziri aagiza matokeo ya utafiti yaandikwe Kiswahili
NAIBU Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa, ameziagiza
taasisi za utafiti wa kilimo nchini, kuandika matokeo yao
ya utafiti kwa lugha ya kiswahili. Agizo hili litawezesha wakulima
wengi wa vijijini, kuzielewa na kuzifanyia kazi. Soma zaidi